Friday, 24 January 2014

Mikutano ya M4C - Operesheni Pamoja Daima, Kigoma, Mbeya, Rukwa, Manyara na Arusha

Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe akiongoza maaandamano Kuelekea Himo kwenye Uzinduzi wa Operesheni Pamoja Daima 

Maelefu ya Wanachama wa Chadema Wakimshangilia kwa nguvu mwenyekiti wa chadema na mbunge wa hai freeman Mowe wakati wa uzinduzi wa operesheni Pamoja daima Himo 


Mamia ya wafuasi na wapenzi wa chadema wakimsikiliza mbunge wa moshi mjini -chadema Ndesamburo wakati wa uzinduzi wa operesheni pamoja daima 


Mbunge wa moshi mjini -chadema ndesamburo akihutubia mamia ya wafuasi na wapenzi wa chadema kwenye uzinduzi wa operesheni pamoja daima jana kiborolino


Mbunge wa singida magharibi tundu lissu akihutubia wanachama muheza tanga


Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa Akihutubia wakazi wa Kyela, Mbeya katika ziara zinazoendelea za Operesheni Pamoja Daima 


Mbunge wa Iringa Mjini Mh Peter Msigwa akihutubia wakazi wa Kyela Mbeya


Katibu Mkuu wa Chadsema Dr Wilbrod Slaa akimnadi Mgombea wa Udiwani 




Sehemu ya Umati Mkubwa Uliyojitokeza


Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa wakati anaagana na wakazi wa Mbambabay ambao walifurika kwa wingi kwenye Uzinduzi wa operesheni Pamoja Daima, Kulia kwa Katibu Mkuu ni Mbunge wa iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa.

Picha na Chadema

No comments:

Post a Comment

Tuandikie maoni yako kuhusu habari hii
Asante kwa Mchango wako