Friday, 17 January 2014

FREEMAN AIKAELI MBOWE AMEZAA WATOTO 2 NA JOYCE MUKYA

Mwenyekiti wa Chadema,Freeman Mbowe akiingia katika ofisi za mkoa za Jeshi la Polisi mkoni Arusha ,aliyevaa nguo nyeusi ni Mbunge wa Viti Maalumu wa Chadema,Joyce Mukya akiwa amemsindikiza mwenyekiti wao  Polisi.

Kumbe Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Aikaeli Mbowe , Amezaa watoto 2 na mbunge wa viti maalumu chadema , Joyce Mukya .

Hii imedhibitika kwenye msiba wa dadake mbowe ambapo joyce mukya alienda na watoto hao kitu kilichosababisha lilian mbowe kukimbia msiba baada ya mbowe kugoma kumfukuza mukya katika msiba huo . Lilian mbowe alikimbilia kwao tengeru kwa babake .


Na MABADILIKO CHADEMA 

No comments:

Post a Comment

Tuandikie maoni yako kuhusu habari hii
Asante kwa Mchango wako