Sunday, 19 January 2014

Hivi CHADEMA mmeshawahi kusema mtawafanyia nini watanzania?

Kila siku katika mikutano yenu ni kulaani mabaya yanayofanywa na baadhi ya watendaji ndani ya chama tawala, e.g Mara oo Wauza madawa ya kulevya, mara meno ya tembo, fulani sijui fisadi! Tena bila ushahidi! Na katika mikutano yenu ni hayo tu! Lakini hakuna hata mkutano mmoja ambao mmeshawahi kueleza mkitawala mtafanya nini kwa kumuendeleza mtanzania. Mna mkakati gani wa kutawala na mmejipanga vipi zaidi ya kubwabwaja mambo ya ufisadi!?

Na R, JF

No comments:

Post a Comment

Tuandikie maoni yako kuhusu habari hii
Asante kwa Mchango wako