
Hapa JF tuliwahi kumjadili Kikwete zamani kwa kutumia kitabu hiki maarufu '48 laws of power'
http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la...r-2-print.html, leo ningependa tukitumie kitabu hiki kujadili yaliyotokeaCHADEMA hasa kwa Zitto na Mbowe na viongozi wote kwa kutumia kitabu hiki.....
- Je ni sheria zipi Zitto alizitumia vizuri au alishindwa kuzitumia?
- Mbowe aliweza zipi? zipi alishindwa na wengineo mfano kina Lissu na Mnyika na Lema wana tumia zipi na zipi wanashindwa...
................naamini itakuwa kitu cha kujifunza kwa kila mtu................
Na The Boss, JF
No comments:
Post a Comment
Tuandikie maoni yako kuhusu habari hii
Asante kwa Mchango wako