- CHADEMA HALI BADO TETE.
- SASA NI MBOWE vs SLAA.

Baada ya kutokufanikiwa kumvua uanachama wake na kufanikiwa kumvua nyadhifa zake zote ndani ya chama na ndani ya bunge sasa hali sio nzuri ndani ya chama na hasa viongozi wakuu M/kiti na Katibu wake ndani ya chama. Mwanaripota wetu ndani ya mtaa wa UFIPA yaliopo makao makuu ya chama anadai kumekuwepo na vikao vya Mara kwa Mara baada tu kusigana na Mzalendo zito zuberi kabwe.
Moja kati ya ajenda jadiliwa kwenye kikao ni namna gani wataunda baraza kivuli la mawaziri baada ya kumvua nyadhifa zake zito.,
Msuguano mkubwa uliopo kati ya Mbowe na Slaa ni huu.
Mbowe anataka kuunda baraza kivuli akivishirikisha vyama pinzani bungeni vyenye wabunge yeye km kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ameona upungufu huo na kutakakuunganisha nguvu.
Nae katibu wa chama kama mgombea urais aliepita yeye hakubaliani na M/kiti wake na kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ktk suaka la kuunda kambi ya pamoja ya upinzani bungeni.,yeye anataka wasifanye badiliko lolote ndani ya bunge .
Mimi najiuliza Je?ni nani mwenye sauti ndani ya chama?kati ya Mbowe na Slaa, sijapata jibu hapo.
Kusigana huko kwenye vikao kulifanya kutengeneza Makundi mengine mawili tena,
Sasa kuna kundi la Mbowe vs Slaa ndani ya chama ukiliweka pembeni lile la Mzalendo.
Tujiulize nini Matokeo yake na mwisho WAO.
Kwa chuki zao mbaya, Roho zao mbaya na hata Ubinafsi WAO wakuwachukia wenzao maeneo wanayotokea bila kujali utaifa na umaskini tulionao.
Yamebainika nayatatokea mengi ndani ya CHADEMA.
Watanzania na wanachadema wako viongozi makini kwenye vyama hivi vya upinzani tusione haya kuhamia huko kwani hiyo sio dini useme utaulizwa na Baba au mkee hiyo ni siasa na ni MFUMO wa Maisha yk pindi unapopata kiongozi mzuri.
No comments:
Post a Comment
Tuandikie maoni yako kuhusu habari hii
Asante kwa Mchango wako