Ni Mwanasheria machachari George Kidindima ametangaza nia ya kugombea Ubunge ktk Jimbo la iramba magharibi 2015 kupitia CHADEMA -Kidindima amepata kuwa Mhadhiri msaidizi ktk Chuo ya uhasibu Singida campus pia ni mwandishi wa vitabu kadhaa vya business law.
Stay tune...............
No comments:
Post a Comment
Tuandikie maoni yako kuhusu habari hii
Asante kwa Mchango wako